Article

Article – MBS Trinity Care

Generosity mbstrinitycare

GENEROSITY

By Justin Mwita   What inspires your giving? The story of the Shunammite woman in 2 Kings 4 offers a profound lesson on generosity. She noticed Elisha’s need, opened her home, and even built a room for him, expecting nothing in return. Her actions remind us that true generosity is not about abundance but about […]

GENEROSITY Read Post »

Sababu za kuamka umechoka mbstrinitycare

KWANINI UNAAMKA UMECHOKA?

By Jamal Hamza Kuamka ukiwa umechoka ni tatizo linalowakumba watu wengi ulimwenguni. Hata baada ya kulala kwa muda unaoonekana kuwa wa kutosha, watu wengi hukosa nguvu na wanakabiliwa na uchovu unaoathiri siku yao nzima. Hali hii inaweza kuhusishwa na sababu nyingi, zikiwemo za kiafya, kisaikolojia, na za mtindo wa maisha. Cleveland Clinic wameelezea baadhi ya

KWANINI UNAAMKA UMECHOKA? Read Post »

JINSI MITANDAO YA KIJAMII INAVYOWEZA KUATHIRI AFYA YA AKILI mbstrinitrycare

JINSI MITANDAO YA KIJAMII INAVYOWEZA KUATHIRI AFYA YA AKILI

By Slyvia Mtenga Mitandao ya kijamii imeleta mapinduzi makubwa katika mawasiliano, mahusiano, na maisha ya kila siku kwa watu wengi ulimwenguni. Ingawa imeleta manufaa makubwa kama kuunganisha watu, kushiriki habari kwa urahisi, na kutoa majukwaa ya kujifunza na kujiburudisha, pia imezua changamoto zinazohusiana na afya ya akili. Tafiti nyingi zimeonyesha kuwa kutumia mitandao ya kijamii

JINSI MITANDAO YA KIJAMII INAVYOWEZA KUATHIRI AFYA YA AKILI Read Post »

Changamoto baada ya kumaliza chuo mbstrinitycare

CHANGAMOTO ZA VIJANA WANAOTOKA CHUO NA KUKABILIANA NA MAISHA MTAANI.

By JAMES MANJECHE Vija wanaomaliza masomo yao vyuoni mara nyingi hukutana na hali halisi, tofauti kabisa na matarajio waliyokuwa nayo wakiwa masomoni. Wengi huingia mtaani wakiwa na ndoto kubwa za kufanikisha maisha, lakini changamoto nyingi huwazuia kufikia malengo yao kwa haraka.  Mimi kama shuhuda mmoja wapo, vijana wengi tunakumbana na chanagmoto nyingi baada tu ya

CHANGAMOTO ZA VIJANA WANAOTOKA CHUO NA KUKABILIANA NA MAISHA MTAANI. Read Post »

kasuku mbstrinitycare

Kasuku! Raha sana!

By Nasibu Mahinya Tofauti na viumbe wengine, kasuku anaongoza kwa kufugwa na watu katika makazi yao. Kwa miaka mingi, ndege kasuku amekuwa kivutio kwa binadamu  kutokana na sifa zake za kipekee. Miaka hivi ya karibuni, tafiti zimegundua kuwa jumla ya idadi ya ndege millioni 14 wanaishi kama mateka nchini Marekani na ndege hao wanasemekana kutoka

Kasuku! Raha sana! Read Post »

Migogoro juu ya Mirathi mbstrinitycare

DISPUTES OVER INHERITANCE.

By Jamal Hamza  Cordoba Law Firm defined inheritance dispute as a situation where a decedent’s beneficiaries or family members are in disagreement about how the decedent’s estate should be divided. Dispute arises when conflicts or disagreements occur over how a deceased person’s assets are divided. These conflicts can be triggered by several factors, such as

DISPUTES OVER INHERITANCE. Read Post »

Thanks Giving mbstrinitycare

THANKSGIVING

by: Justin Mwita “Thanksgiving gives us an incredible opportunity to practice real gratitude, drop our burdens, and remind ourselves we have a Heavenly Father willing to handle it.” Be anxious for nothing, but in everything by prayer and supplication, with thanksgiving, let your requests be made known to God. Thanksgiving is an opportunity to realign

THANKSGIVING Read Post »

Migogoro ya nafsi mbstrinitycare

KUTATUA MIGOGORO YA NDANI NA NAMNA YA KUJIBORESHA

By Sylvia Mtenga 1. Utangulizi Migogoro ya ndani ni hali zinazotokea pale ambapo mtu binafsi anakumbana na changamoto zinazotokana na hisia, mawazo, na matendo yake mwenyewe. Migogoro hii inaweza kujumuisha hisia kama wasiwasi, hofu, chuki, na hata kutoridhika kwa ujumla. Migogoro ya ndani inaweza kusababisha madhara makubwa endapo haitashughulikiwa kwa wakati, ikiwemo athari kwenye afya

KUTATUA MIGOGORO YA NDANI NA NAMNA YA KUJIBORESHA Read Post »

Siri za mti wa ubuyu mbstrinitycare8

Kwanini penye mbuyu pana uhai?

By Nasibu Mahinya Mbuyu ni mmea unaobeba kumbukumbu nyingi sana za maisha yetu ya utotoni. Shule ya msingi niliyosoma ilikuwa na mbuyu katikati ya eneo ambalo limezungukwa na majengo ya madarasa. Tukishaangalia filamu za kutisha na tukishaanza kusimuliana hadithi hizo kuhusu mti huu, hatimaye nikatokea kuuogopa na kuanza kupita mbali na nao. Wengi walikuwa wakihadithiana

Kwanini penye mbuyu pana uhai? Read Post »

Scroll to Top