Author name: MBS Editor

JINSI YA KUPATA AMANI YA NDANI KWA KUFANYA TAHAJUDI

By Sylvia Mtenga Tahajudi, inayojulikana pia kama kutafakari, ni zoezi la kiroho na kisaikolojia ambalo limekuwepo kwa maelfu ya miaka katika tamaduni mbalimbali duniani. Zoezi hili linahusisha kumakinika, kuzingatia, na kufikiri kwa kina juu ya hali ya ndani ya nafsi. Katika makala hii, tutachunguza maana ya tahajudi, historia yake, faida zake, na jinsi inavyoweza kuleta mabadiliko

JINSI YA KUPATA AMANI YA NDANI KWA KUFANYA TAHAJUDI Read Post »

Hofu ya kuzungumza

By Maureen C. Minanago Hofu ya mwanadamu hutofautiana kwa ukuu. Lakini sote huogopa kwa namna fulani. Hata mwenye nguvu wanamaeneo yao ya unyonge. Tuogope yote lakini tusiogope kusema ukweli inapobidi, na si ukweli tu ila kuzungumza kwa ujumla. Wapo wenye mawazo mazuri sana ambayo yasipokaliwa kimya yanaweza kuleta athari kubwa tu kwa mtu mmoja au jamii nzima.Yamkini ukambadilisha mtu /

Hofu ya kuzungumza Read Post »

MAZOEZI SI HAKIKA YA AFYA NJEMA

By Maureen C. Minanago Mazoezi ni muhimu kwa kukuweka mwenye nguvu muda wote lakini maisha unavyoyaishi pia yanachangia katika kukufanya mwenye furaha, mchangamfu na mwenye afya njema. Dr. Denis Nturibi anasema kuna vitu vitatu ambavyo binadamu wote tunapaswa kuvifuata ili kuwa na afya njema. Mazoezi ni sahihi kuyafanya lakini muundo wa maisha (lifestyle) yetu unamchango

MAZOEZI SI HAKIKA YA AFYA NJEMA Read Post »

Tumbo la kuhara

By Maureen C. Minanago HUDUMA YA KWANZA Ni matumaini yangu hakuna mtu ambaye hajawahi kuumwa tumbo hata siku moja toka azaliwe. Lakini leo naongelea kuvurugwa kwa tumbo. Yawezekana ukawa umepata chakula mchnaganyiko ama vinywaji tofauti ambavyo vikasababisha kuvurugika kwa tumbo. Inawezekana ukawa umetoka sehemu moja kwenda nyingine yaani kubadilika kwa mazingira, hivyo kuhisi umevurugika tumbo. Lakini

Tumbo la kuhara Read Post »

Feasting to Fishing

By Justin Mwita David “A Mindset transformation journey for African youth, shifting from Dependency to Self-Sufficiency” Africa has the youngest population in the world, with over 400 million young people aged between 15 to 35 years. This demographic presents both challenges and opportunities.  The majority of African youth are caught in a dilemma that is both complex and

Feasting to Fishing Read Post »

EMPOWERING SECONDARY SCHOOL GIRLS IN DODOMA REGION THROUGH SANITARY PAD DISTRIBUTION

By Happiness Silivester Masatu Empowering secondary school girls in Dodoma Region through sanitary pad distribution is a crucial initiative aimed at addressing menstrual hygiene management (MHM) challenges and promoting girls’ education. Menstrual hygiene remains a significant barrier to girls’ education in many parts of the world, including Dodoma Region, where access to sanitary pads is limited,

EMPOWERING SECONDARY SCHOOL GIRLS IN DODOMA REGION THROUGH SANITARY PAD DISTRIBUTION Read Post »

“Watu wenye ulemavu wanahaki ya usawa na kuheshimiwa”.

By Maureen C. Minanago Kuna ulemavu wa aina mbali mbali. Machache yajulikanayo ni kushindwa kutembea kushindwa kutumia mikono, kutoona vizuri ama kutoona kabisa, ulimi kuwa mzito hivyo kushindwa kuongea, kutosikia (kiziwi), mifupa kujikunja na kusababisha matege pamoja na kukosa melanin itengenezayo rangi ya ngozi (albino). Watu wenye ulemavu wanapaswa kujijali pia, wanapaswa kupata lishe iliyo bora

“Watu wenye ulemavu wanahaki ya usawa na kuheshimiwa”. Read Post »

AFYA ni nini?

By Maureen C. Minanago Afya ni hali ya kutokuwa na ugonjwa au kidonda. Afya ni hali ya kuwa na amani ya roho. Afya ni ubora wa akili, mwili na nafsi. Afya hutegemea vitu hivi vitatu ili kuwa hai na salama: Akili, Mwili, Nafsi. Akili ni utashi tuliopewa na Mwenyezi Mungu katika kung’amua mambo ulimwenguni. Akili hujumuisha

AFYA ni nini? Read Post »

Onyesha heshima hata kwa watu wasiostahili; sio kwa muonekano wa tabia zao ila muonekano wa yako.

By Maureen C. Minanago Maneno ya Dave Willis yanakumbushia utoaji wa heshima. Waswahili wanasema “heshima ni kitu cha bure” yaani huhitaji kulipia wala kugharamia chochote kuheshimu ama kuheshimiwa ila kujiheshimu na kutoa heshima hiyo kwa wengine wote hata kama hawastahili heshima yako. Inakuwaje mtu hastahili heshima yako? Ni kwa sababu haonyeshi upendo kwako kama binadamu,

Onyesha heshima hata kwa watu wasiostahili; sio kwa muonekano wa tabia zao ila muonekano wa yako. Read Post »

Scroll to Top