UNYWAJI WA POMBE KUPINDUKIA
By Maureen Minanago Pombe imekuwa sehemu ya burudani na sehemu ya maisha ya watu wengi ulimwenguni. Hata hivyo, matumizi yake kupita kiasi yanaweza kuwa na athari mbaya kubwa kwa afya ya akili, ustawi wa kiroho, na viungo vya mwili. NAMNA UNYWAJI POMBE WA KUPINDUKIA UNAVYOWEZA KUDHOOFISHA USTAWI WA AKILI NA NAFSI PAMOJA NA KUATHIRI VIUNGO […]
UNYWAJI WA POMBE KUPINDUKIA Read Post »